Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,773
- 40,444
Niambie kwanza nipo kwenye list yako?khaa na kwanini uone kama vile kuonana na mimi ni bahati??
Niambie kwanza nipo kwenye list yako?khaa na kwanini uone kama vile kuonana na mimi ni bahati??
Mkuu salute kwako, at least jf inafanya tupige story na jamii ya watu fulani.
Yako wapiiiiMoshi?! Hata maghorofa huyaoni![]()
Fursa
Metaka usome tuu jamani deardada mbona tag tena??
Hahah...sio usumbufu ni kama nursery ya mimea kwa ajili ya kupata mbegu bora kabla hujapeleka shambaLoh!asa mbona ni usumbufu kupanda vitu mara mbili mbili
Angepanda tu shambani moja kwa moja....halafu mwanzo nilijua kitalu ni chakula![]()
HahahahahahaNiambie uko wapi? Mwananyamala au Buza



kwa kweli,, ila kufungua id nyingine naogopa zitaunganishwa sasa..
Itafika wakati ukishafahamiana na baadhi ya member utalazimika uwe na id nyingine tu ili ikupe uhuru wa kutoa mambo yako ya ndani zaidi.![]()
Yeah
Niwaone jamanii!! Kumbe ulifaidi mwenyewe tuuYaani ujione?!
Sisi wa mirinda nyeusi tunacoment wapi eti jamaniNa siku ndio inaisha kama hivi, ngoja nikanywe konyagi sasa View attachment 1274499
Ni ngumu sana kujua. Wengi tu wana id zaidi ya moja.kwa kweli,, ila kufungua id nyingine naogopa zitaunganishwa sasa..
Hahaha hapana tunachangamsha genge tu hapo







