Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Got dragged from my drink to 'see the sunset'. Beautiful view tho.
HAPANAKesho utakuwa zanzibar eti eeh?
Mkuu $$$ zote hizo unaenda kunywa ngumu kumeza
Jamaaaaaniiiiii
hahaha uzuri zaidi ni mmoja ya rafiki zako.Niunganishe naye hebu



nilikuwa mgeni sina hili wala lile nimekuja zangu na akili zangu za kubishana na mafurushi tu basi
Kwenye mabano nimecheka daaah....
Naahidi kuonana na wewe siku ukiwa tayari mdogo wangu mzuri mzuri!!!Nini dada?? Wewe ni namba moja kwa list yangu eti kwahiyo naomba ufanye kweli usije ukanitosa mimi jamani!!
Sawa kaka
Sawa mkuuFanya kama hujui nini kinaendelea..
Kuna limkaka limoja humu ye alikuwa akiniqoute ananibadilishia content ya comment yangu..ataweka neno baby au upuuzi wowote atakao jisikia, nikareport akakula ban ya mwezi mzima 😂😂Tupe uzoefu wako mama![]()



sikutaka ajue mimi japo nahisi mwishoni alijua tu
Hizo si mila za mabibi zetu buaanaa dada.
Yan hukumuonesha ishara dah
HahahahahahaHahahaaa...
Sawa sawa Panya wa @Atoto
ZoomYako wapiiii
Ha ha ha Mimi sio mgeni na weweDaaaaahhh!!!
Sikuliwaza hilo, aki umenikamata haswaaa!!
Usijali, tutaonana tuu jamani!! Wewe ni miongoni mwa watu wako kwa list yangu jamani!!!
Happy birthday to you once again!
Niambie kwanza nipo kwenye list yako?



.....
Metaka usome tuu jamani dear