Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Siri hii tulikuwa nayo wachache huku tukiwachora wanaoponda
Ila sio Siri Mshana Jr nimekumind umefanya watu wengi wajue jf kuna vifaa vya ukweli. Siri hii tulikuwa nayo wachache huku tukiwachora wanaoponda
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Khaa na vyenye kuna id kongwe zimeanza kupotea humu basi sisi tuliojiunga mwaka huu wengi tunaonekana ni old members in new ids kumbe wala,, hauwezi amini eti kuna watu humu hadi leo wanadhani mie ni old member in new id na nimeamua kuwaacha waamini hivyo hivyo nifanyaje sasa.. maana siwezi kujitetea sana utadhani kuna viboko
Haha kuna watu humu wana mambo ya ajabu... Kuna mtu alinikomaliaga kwenye jukwaa hadi PM eti mm ni Demiss
 
Back
Top Bottom