Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Najua wewe na baby Yoda mna kitu na mtafika mbali sana, sema hujaamua tu kumshka. Niliona siku ile meeting yenu ilikuwa hot sana, acha nibaki kuwa shem kama shem.
Amen ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Shem unajua sana kushauri , naomba uwe my mentor please .

Siku baby yoda akizingua unanipa faraja basi .
 
Aje kufanyajeee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wee unatafuta kurogwa kwa nguvuu, nakuona kabisaa, uko winja winja uwee zezeta.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtie kishipa
 
Back
Top Bottom