Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wote tuna sonona jf ndio pa kuzimalizia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio Kila mmoja apambane na sonona zake udugu sio kuvamia wengine!!
Yani Humu niseme watu tunachekesha sana kuna Vitu ukijiuliza unabaki kujichekea tu mwenyewe!!
Watu wanavurugwa namambo yao hukoo wanakuja kudiss wasiowahusu hata robo humuu basi Mie nikiwaangalia mbavuuu Sinaaaa!😊!!
Sema nini tuishi humohumo tyuu mbivu na mbichi zitajulikana tu!
 
Watu mna siri [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Aiseee kumbe vocha zipo humu za kushanta
 
Udugu ngoja nijaribu nione [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wallahi nikinyimwa nitacheka mpk nijikojolee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wenzio tushazoeaaa mbna.
Unakuwa unakumbusha kumbusha, si unajua JF ukizubaa kina Kongosho wanabeba juu kwa juu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] gombania goli.
 
Ndio Kila mmoja apambane na sonona zake udugu sio kuvamia wengine!!
Yani Humu niseme watu tunachekesha sana kuna Vitu ukijiuliza unabaki kujichekea tu mwenyewe!!
Watu wanavurugwa namambo yao hukoo wanakuja kudiss wadiowahusu humuu basi Mie nikiwaangalia mbavuuu Sinaaaa![emoji4]!!
Sema nini tuishi humohumo tyuu mbivu na mbichi zitajionesha zenyewe!

Udugu achana wasikumalizie energy wakakojoe walale, afu mimi napenda kweli nikiona watu wanateseka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Watuacheeee au walete wima wima tuwakaushe damu [emoji2222][emoji2222]
 
Back
Top Bottom