Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Khakhakhaaaa iko chuma nukseee sana inaeza toa kizazi na mwamba mwenyewe kakaa kikazzz kaaaazz💪💪💪😛

Nishaachaga 🤳 mjombaaa!!
😅😅😅 jamaa yupo serious sana.. yupo kikazi zaidi . hacheki na nyaneeeee.

😊😊😊😊 nina library ya ulizokuwa unaweka .. haena shidaaa
 
😅😅😅 jamaa yupo serious sana.. yupo kikazi zaidi . hacheki na nyaneeeee.

😊😊😊😊 nina library ya ulizokuwa unaweka .. haena shidaaa
Mwamba harembii😂😂😂🤣🤣🤣😂!!

Ukinkumbuka angalia izo izooo mjomba khakhakhaaaa!!😁😁😁!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787],!

Mie hao ndio kabisaaaa kwa dustbin kitrambo sanaaa[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]!

Kuna hao sijui ni mabwana zao wanaume kama mabinti vijana wa hovyo hovyo watafuta kiki humu!

[emoji443][emoji445]Mind your business mi sina noma naweee[emoji3577][emoji3577]!!

Unatuchamba au siyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule ameshindikanika.

Mie huyu Mjep alikua Zobaa, baada ya kuingia kwangu nika mjanjarushaa ndo huyo had leo kachangamka kidg.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jitahidi udugu tumzibiti chalii wa chuga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom