Bila kuona muamala sielewi 😁Ondoa ua chap
Si tulishakubaliana zilo dolali
Good morning Dr
Weka namba ya account hapa chap muamala usomeBila kuona muamala sielewi 😁
Niko poa sana boss wangu mkubwa mwenye lips za dhahabuNipo poa vipi wewe chief
Shikamoo .
Itikia salamu kwanza mr.vocha .Niko poa sana boss wangu mkubwa mwenye lips za dhahabu
Leo nashindia town mitaa ya posta boss wanguLeo upo wapi boss ??
Ewaaa
Make sure unanicheck tupate walau cappuccino kama ya ChakoriiAnha sawa boss
Vyema vyema naweza pita baadae kwenda kanisani hapo ..
Ewaaa
Lipo daima na milele
Mkaka mwenye roho yake safi
Ubarikikiwe sana
Ewaaa
Lipo daima na milele
Mkaka mwenye roho yake safi
Ubarikikiwe sana
Unastahili bhanaHizi sifa unazonimwagia mdogo wangu zinanizidi umri ujue
Amin🙏🙏🙏Unastahili bhana
Kwa kidogo unachotoa inasaida sana ,
Hehehee baba wawiliHawezi kosa ila mwambie asije na G wake
Amuache huko aliko nitamrarua 😁
Kimeo chenye picha kiko mbali naona uvivu 😂😂Amin🙏🙏🙏
Selfika basi mdogo wangu