Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Baby yodaNani sasa, baby yoda au mimi?
Mpee wish yangu
Baby yodaNani sasa, baby yoda au mimi?
Poa, atakujia usiku kukupa Asante.Baby yoda
Mpee wish yangu
Mwambie aje na zawadiPoa, atakujia usiku kukupa Asante.
Gani?Mwambie aje na zawadi
Anifanyie suprise tu .Gani?
Sawa, atakuketea ka jini kakupe kampaniAnifanyie suprise tu .
Uwii sitakiSawa, atakuketea ka jini kakupe kampani
Umesema hutakiUwii sitaki
Mwambie namsubiri kwa hamu
Sitaki ka jiniUmesema hutaki
Umesema unamsubiri kwa hamu
Lipi ni jibu sahihi?
Sawa nitamwambiaSitaki ka jini
Nasubiri kampani yake .
Mfikishe salamu ..Sawa nitamwambia
Kuna viumbe vina bahati hapa duniani,
Unataka kumponza tu binamu yanguMfikishe salamu ..
Akuje sayari yetu huku 😂😂
Naanzaje aiseeUnataka kumponza tu binamu yangu
Nyie binadamu hamueleweki, upendo wenu umejaa stress sana.
Umewahi kumuona?Naanzaje aisee
Nampenda sana binamu yako, nilivyo loyal sasa .
Love is surely crazy , hata ukiwa hujamuona mtu , ahh the feeling is terrific .Umewahi kumuona?
Unampendaje baby yoda ambae hujawahi kumuona?
Umetumia lugha gani hapoLove is surely crazy , hata ukiwa hujamuona mtu , ahh the feeling is terrific .
Umeelewa bhanaUmetumia lugha gani hapo
Sijakuelewa
Kweli sijaelewa, elimu yangu ni ndogo mno.Umeelewa bhana
Sio lazima umuone , baby yoda naona post zake daily , huwa ananifurahisha sana ..
Kwenye mtandao humuKweli sijaelewa, elimu yangu ni ndogo mno.
Unaziona wapi?
Kumbe, basi mfikishie tu ujumbe wako kuwa unampenda. Kwa nini unanitumia mimi?Kwenye mtandao humu