Selfika na JF: Snap it. Show it

Anha,kile naonaga kimezungushiwa na mfuko kwa pembeni sijui

Nafikiri ni hiyo

Jo dear sasa ile miche ikiwa mingi all together mahali pamoja, kawaida mimea jamii ya miti ndio huwa wrapped vile na udongo...

Pia inaweza namaanisha ardhi imelimwa mfano wa bustani (nursery), unapanda hapo miche ya mbegu...

Kuna zitazoota vizuri na kwa ubora utaziamishia shambani, nyingine unazidiscard...

Lemme look for a photo toka online nikuoneshe

Huyu kaaandaa kitalu cha mboga, then zikimea atahamishia shambani...



joanah picha hii hapo
 

 

Iko
 
yeah hilo JF nimeliona sana,, mie ninaofahamiana nao hawafiki hata kumi na wote nimefahamiana nao humu humu tu..

Ila twende mbele turudi nyuma pamoja na hii misimamo tuliyojiwekea kuwa hatutaki kukutana na watu wa JF ila kuna watu tu lazima utakuwa umejiwekea ambao hauwezi kuwakatalia

Mfano joanah mwenyewe pamoja na huo msimamo wake amesema Asprin akikubali kuonana naye basi wataonana

Na hata mie pamoja na msimamo wangu huu ila kuna watu wangu wachache sana ambao wakikubali nionane nao basi fresh tu
Wewe "unajuana" na nani humu Karma ? Like one on one unajuana na nani!!


Binafsi naweza kichitchat na mtu ukija kusoma ukadhani huyu ameshawahi kuwa mchuchu wangu, kumbe hata pm hatujawahi kwenda
 

Hataa sijaona hiyo pichaa mbona
 
Kama nani
 
Yaaani ukafa na tai shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…