Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,543
- 8,817
Pole aiseeniko poa....
zaidi tu baridi linaleta dirty thoughts😬
HahaaWe
Pole sana
Mbona hamna baridi sana
Ngoja nikuletee heater 😁
ndo nilikua nje, baridi ipo kila mahali mbona😂Pole aisee
Toka nje ukashangae kidogo , itakusaidia kupunguza mawazo
Swa shooooBeba chochotee, mie sichagui hata. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo poaPoaaah vipi wee??
Pole aiseendo nilikua nje, baridi ipo kila mahali mbona😂
Pm namba yake mkuuu!!Hiv nyie mnawezaje jamni 😀😀
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma 😭namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao
Ungemshauri aje kwa Chino tu!!Mtoe out mkajichanganye kidogo walau ile interaction huko inasaidia kiakili !
Kila kitu huja kwanza wakati dear Mungu ni mwema atakuletea kwa wakati mpaka utashangaa mwenyewe!!
Asilaumu wala kukufuru kabisa
Aisee pole yakeHiv nyie mnawezaje jamni 😀😀
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma 😭namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao
Kabesaaa mnyamaaa ongea vizuri na Aaliyahh!!😊Ngoja tusubirie mrejesho mnywani
Gona chabwina.Nigoni lepa, nivi bahapa
Mzima,Nzuri kaka
Vipi wewe ?
Selfika tukuone MkuuMzima,
Anza wewe kwanza.....Selfika tukuone Mkuu
Ni muda hujaonekana humu
Sina picha mpya ChiefAnza wewe kwanza.....
[emoji8][emoji8][emoji182][emoji182]Swa shoooo