Tukimaliza kazi tutapumzika!
Ungeniachia na namba yake sasa kijana🤣Jana nime mpata mzungu jasho lake limenishinda limebakia kwenye nguo nafikiria kuitupa
Jana katika harakati za kupunguza depression nilibahat kupata mzungu tulianza kuongea kujuana mwisho kucheza mziki nilikuwa nacheza nae uku najikaza jasho kali sana yaan ananuka wakat anaondoka aliniachia namba ila sina mood. Nae na nimefuta namba huyu mzungu wa pili na mkataa kisa jasho wakwaza ilikuwa marangu kwenye waterfro
Jack Palladino nimekuachia mzungu wako
Jack Palladino hii hapa haitokuacha salama😬
Nakutumia waspaUngeniachia na namba yake sasa kijana🤣
Kumbe unajua vitu vizuri kijana😊Jack Palladino hii hapa haitokuacha salama😬
Chap kwa haraka!Nakutumia waspa
We na mshamba_hachekwi mnazingua 😁😁Kumbe unajua vitu vizuri kijana😊
Dr hii naomba uondoe tafadhali😍😍
Nimempa kazi ya kunitag ili nisipitwe na mambo mazuri kutoka kwako😊We na mshamba_hachekwi mnazingua 😁😁
macho hayana pazia mama😂We na mshamba_hachekwi mnazingua 😁😁
Sa siuniambie niwe naku-tag mwenyewe, mshamba_hachekwi nae akipitwa je??Nimempa kazi ya kunitag ili nisipitwe na mambo mazuri kutoka kwako😊
Limepita iloChap kwa haraka!
Siwezi kukubali vitu vingine acha nifaidi mwenyewe tu😅
Hivi la ua huwezi niuzia?
Ahaaa nilishindwa kukuambia direct kuanzia leo uwe unanitag😉Sa siuniambie niwe naku-tag mwenyewe, mshamba_hachekwi nae akipitwa je??
Kwanza chukua 💐 yako ya fathers day!!!😁
Nasubiri hapaLimepita ilo
Sh. ngapi???🤑Hivi la ua huwezi niuzia?
Nitumie wewe mwenyewe boss