Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,210
- 183,059
Nimeretire!!Selfika Sasa😂🤣
Nimeretire!!Selfika Sasa😂🤣
Mr Right has to ensure huyu mrembo hawashi laptop jumapili [emoji4][emoji4]
Namm nina sitresii nipeleke Bunena beach basii [emoji12][emoji12]Mtoe out mkajichanganye kidogo walau ile interaction huko inasaidia kiakili !
Kila kitu huja kwanza wakati dear Mungu ni mwema atakuletea kwa wakati mpaka utashangaa mwenyewe!!
Asilaumu wala kukufuru kabisa
one last moment for kichaa ake🙏😂🤣Nimeretire!!
Pia Atafute kitu cha kumuweka bize muda mwingi asipate muda wa kuwaza sana au Atafute rafiki wa kiume muelewa awe nae muda mwingi ila awe rafiki tyuu asijichanganye vya mapenzi!! Taratibuuu atarikava!!Hiv nyie mnawezaje jamni 😀😀
Ninarafikiyang kipenz kaomba aje nikae nae 2 days anadai kichwa hakiko sawa anatka utulivu atulize akili mapenz yanamuendesha had huruma 😭namuhurumia
Ndo maana wiki hii nimeamua kuwa happy always mgeni akija nisimuongezee simanzi moyoni,kwakweli muwe mnatupa darasa wadogozenu Hali si shwari Vijana Hawa wataua wenzao
Dah dharau hizi, ko sisi ma virgin hatuna la kusema😂🤣Ushauri wa nn hayanaga ushauri kumuombea tu kwakweli wew mtoto mdogo Wakubwa ndo waongee wanawezaje kuyamudu
Usijareee kabesa tutazunguka sehemu nyingi nyingi uzuri wee ni mwenyeji huko!Namm nina sitresii nipeleke Bunena beach basii [emoji12][emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Virgin unajua matrundu yoteee mfyuu!Dah dharau hizi, ko sisi ma virgin hatuna la kusema😂🤣
👉Afu IAM 74 years old
anapata usumbufu sana alivyo mzuri [emoji4][emoji4]Antonnia kwanin umestaafu kuselfika?
Nikishaamuaga sirudigi nyumaaa asee!!one last moment for kichaa ake🙏😂🤣
Mom nashukuru Niko very strong sijawahi kufikia hatua hiyoMtoe out mkajichanganye kidogo walau ile interaction huko inasaidia kiakili !
Kila kitu huja kwanza wakati dear Mungu ni mwema atakuletea kwa wakati mpaka utashangaa mwenyewe!!
Asilaumu wala kukufuru kabisa
Mwehh hata hakuna usumbufu wala kwa uzuri gani labda!!!
Good for you! It's always a reciprocation of what you gave.Na nina bahati ya kupendwa piaaahhh![emoji14][emoji14][emoji14]!( Kwa kukazia tyuuu tukiachana na historia sio kupendwa tu kupendwa na watu wanaojielewa) In cocastic voice
Yani anavoongea tu anatia huruma ningekuwa na Mganga konk shemeji ningemroga 😀Pia Atafute kitu cha kumuweka bize muda mwingi asipate muda wa kuwaza sana au Atafute rafiki wa kiume muelewa awe nae muda mwingi ila awe rafiki tyuu asijichanganye vya mapenzi!! Taratibuuu atarikava!!
Maneno tu for sure, intelli ndivyo NILIVYO. Nasoma wee Afu nakuja waambiaVirgin unajua matrundu yoteee mfyuu!
Ule ule niliouonaMwehh hata hakuna usumbufu wala kwa uzuri gani labda!!!
Nimeamua tu
Virgin y wapi kwanza😂😂😂Dah dharau hizi, ko sisi ma virgin hatuna la kusema😂🤣
👉Afu IAM 74 years old
Jitahidi kumkeep bize unavowezavo stress za mapenzi mbaya sana!Mom nashukuru Niko very strong sijawahi kufikia hatua hiyo
Ila naona hii tofauti nitajitahid asijisikie unyonge
Fanya mpango niongee nae, siku 3 tu atapona. Aim serious AaliyyahYani anavoongea tu anatia huruma ningekuwa na Mganga konk shemeji ningemroga 😀
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana hujapewa huo ujuzi, badala yake ukapewa huo moyo mlainiYani anavoongea tu anatia huruma ningekuwa na Mganga konk shemeji ningemroga [emoji3]