Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Anatafuta ngumi mwambie mimi ngumi mkononi bhna 😅😅😅Ana sema mli nyweshana Hadi bia😂🤣🤣
Anatafuta ngumi mwambie mimi ngumi mkononi bhna 😅😅😅Ana sema mli nyweshana Hadi bia😂🤣🤣
Binti Ni nini hikii??, IAM a virgin for real🤗Virgin y wapi kwanza😂😂😂
Ata mimi namuonaMwachiluwi huyu Jamaa Hana lengo zuri😂🤣🤣
Ewaaaaaaaah!Usijareee kabesa tutazunguka sehemu nyingi nyingi uzuri wee ni mwenyeji huko!
Ameen amen!
Kwanza dear nimeogopa naonaga tu kwenye mitandao watu wanastresika na mapenz hivo sikujua nitamuona live mtu wa hivo 😭Jitahidi kumkeep bize unavowezavo stress za mapenzi mbaya sana!
Mwanaume virgin hata hapendezii ..bora awe mtrundu tyuu😛!Maneno tu for sure, intelli ndivyo NILIVYO. Nasoma wee Afu nakuja waambia
👉Kama fundi vile🤣😂, ila Ni utani tu. IAM real a virginito
😂😂😂Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana hujapewa huo ujuzi, badala yake ukapewa huo moyo mlaini
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli.[emoji23][emoji23][emoji23]Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso
Nah, professor Ali tuambia to focus kwenye kitu 1 ty🤣😂Mwanaume virgin hata hapendezii ..bora awe mtrundu tyuu😛!
Na una teseka vipi kiss mapenzi, akati movie. Magame na Misosi IPO🤣😂😂😂😂Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso
Kweli kabisa Haina maana Na wanajifanya wajuaji kupenda wazima wazima Ndo wanateseka sie vichaa 😂😂😂@Antonnia sweetheart sweetheart Ndo nyingiNi kweli.
Huenda kuna alama anaonyeshwa ila yeye anang'ang'ana.
Aachike tu, dunia ni nzuri zaidi nje ya huyo anayemtesa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamtesaje???? Wamezaa???😂😂😂Ujue kunavitu vinakera Yani Mimi kwakweli hapana imeniuma sana mwanaume unamtesa moenzwako hadi anaona kuish ni mateso
Misosi iyo ndo Sekta yangu pendwa Yani siku nikishindwa kula nikatibiwe na nilivo wa ovyo mtu akinizungua ndo nanenenepa sijui nimelogwa😂😂Na una teseka vipi kiss mapenzi, akati movie. Magame na Misosi IPO🤣😂
Hope u will do de same to me🤔🤗🤗Kweli kabisa Haina maana Na wanajifanya wajuaji kupenda wazima wazima Ndo wanateseka sie vichaa 😂😂😂@Antonnia sweetheart sweetheart Ndo nyingi
Wamezaa wakaoana badae ila ndo Ivo mambo hayaelewekiAnamtesaje???? Wamezaa???
Yaaani, you are the one😍😂🤣Misosi iyo ndo Sekta yangu pendwa Yani siku nikishindwa kula nikatibiwe na nilivo wa ovyo mtu akinizungua ndo nanenenepa sijui nimelogwa😂😂
Niseme tu hivi, sijui yajayo. Ila if it happens. Then ma woman is the special package to me🤗🤗Wamezaa wakaoana badae ila ndo Ivo mambo hayaeleweki
Dunia hii Ina wanaume wanajua kutesa wanawake zao Yani mtu haujifeel ukosingle Wala kwenye kuolewa haupo unaelea elea tuNiseme tu hivi, sijui yajayo. Ila if it happens. Then ma woman is the special package to me🤗🤗
Ni woga tu !!Nah, professor Ali tuambia to focus kwenye kitu 1 ty🤣😂