Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 20,261
- 49,198
Aisee wanaume ni WA kuwaogopa sanaKwakweli hio ya Chini kwakweli nastahili double polee ila always Mungu amekua mwema sana Kwangu nyieeee kuna mambo yasikie tu kwa jirani!
Mara nyingi tunapendwasana ila tunaowapenda sisi ndo vichomi 😀