Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanaume akikupenda kwa dhati, anakufanyia mengi mazuri kwa vitendo na si maigizo. Aisee utaenjoy sana. Kosea umpende wewe zaidi afu ajue kwake umekufa ukaoza ndiyo utaishia kulialia kila leo!! Kigi Makasi anasema nakufundisha ujambazi🤣🤣!!

Kila kitu kwa kikomo aisee na
Ukipendwa pendeka !!
Kabisa dear yaani utaenjoy sana na kiukweli Huwa tunawaombea hawajui tu😀
 
Watu wa Dar
Hapa ni wapi??
Hapa ni wapi??
Mwalimu wa Mase alisema sifiki mbali
Hapa ni wapi???
 

Attachments

  • 20230511_090746.jpg
    20230511_090746.jpg
    1.2 MB · Views: 3
Back
Top Bottom