Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kabisa Haina maana Na wanajifanya wajuaji kupenda wazima wazima Ndo wanateseka sie vichaa [emoji23][emoji23][emoji23]@Antonnia sweetheart sweetheart Ndo nyingi
Kuteseka kdg lazima kutatokea kama walikuwa na mipango and huenda kuna some sacrifices amezifanya tayari kwa ajili ya huyo mtu wake.

Lakini inabidi tu akubaliane na hali pale mambo yanapobadilika. Mungu anamuepusha na mabalaa mengi huko mbeleni yeye anang'ang'ana SHAURILAKE.

Wewe kama mshauri na mfariji kwa wakati huu fanya yafuatayo

1. Usiungane naye katika kumlaumu huyo mtu wake, hapo haponi zaidi anaongeza kidonda. Yaani hata msimzungumzie tuu, asiwe subject kiviile.

2. Mwongeleshe story zenye image mbaya za baadaye, yaani unamfanya anazivuta hizo image karibu, mfano. Imagine ndo wapo kwenye ndoa mwanaume anakuja na mwananke mwingine nyumbani, analewa, anamkata kata mapanga maana hampendi, anamkana hadharani kwamba yeye king'ang'anizi.. make sure anavuta hiyo picha kama vile yanatokea now.

3. Mwongeleshe story zenye positives images without him, kumbe alikuwa anaenda kukutana na mwanaume mwingine mzuri, atakayempenda na kumheshimu, mwenye mali.., hakikisha una picha picha nyingi za kuangalia naye, hakikisha anavuta picha ndo kashapata handsome amempeleka Zanzibar huko, Serengeti analisha twiga, Dubai nk nk...

4. Toka naye out, mnunulie hata zawadi ndogo tu, piteni mcity pale muangalie movie, mpitishe mle ndani afanye window shopping huku akipita mkaka mzuri mzuri uwe unasifia, atajikuta nayeye anaanza kufunguka macho kuona nje..

Notes zingine kesho [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa dear uko vizuri Yan nimeumia utasema mm ndo mhusika
 
A man attends an interview in a pure water factory

Manager: Question 1: Why do we drink water?

Man: Because we can't eat water

Manager: (hmmm) OK oo. Question 2: What would be the first thing you would do when you get to work each day?

Man: I will hide..

Manager: (surprised) Why?

Man: Because they say a good worker's hard to find

Manager: This is serious.. Question 3: Would you love to do overtime once in a while?

Man: First of all, I don't even want to do regular time..

Manager: ($h0çk£d) So, why are you here?

Man: So, why did you put up that job vacancy signboard outside?

Manager: You're using question to answer question?

Man: Let the job seekers breath na.. I'm here to resume work and not to be questioned. Or you be FBI? Abi I $t£ál y0ur g0át??

Manager: What's your name in the first place?

Man: Hired

Manager: (surprised again) You're hired?

Man: (stands with a smile) Oh, thank you. Pls, show me my office..

Manager: .....

#intelli kichaa ake😂🤣, June 2023
President, Vawulence Continent
mshamba_hachekwi, Mzee wa kupambania, Dahan,
 
Back
Top Bottom