Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu nisaidie basi ni-meet na Atoto, yeye haelewi kukutana live ndio mpango mzima, ila hiyo ya ku-check mwaka mzima mimi sitaweza [emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sitaki kuamini unanikana hadharani jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
Wakati wewe ndio mtu pekee nilomeet nae jf, na sio kumeet tu bali kumeet kwelikweli[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji85]
 
[emoji134][emoji2536]‍[emoji3603][emoji134][emoji2536]‍[emoji3603][emoji134][emoji2536]‍[emoji3603][emoji134][emoji2536]‍[emoji3603][emoji134][emoji2536]‍[emoji3603]
 
Haki mie kuna muda JF huwa nashindwa kabisa kuielewa yaani kuna muda unaweza kuta watu wanachat kama wanajuana kuna muda unakuta wanachat kama hawajuani unashindwa kuelewa unabaki na mfurugano na hapo ndipo moyo wako unapokusuta na kukuambia "mind your own business young lady"
Yes..ndivyo Mambo yalivyokuwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hatarious
 
[emoji23][emoji23]

Ukiona mambo huyaelewi mambo yao unawaachia wenyewe..unafanya ya kwako dear..jf ni kichaka.
 
Kama mimi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…