Aisee mpaka nakuogopa, tabia hizi Ni za mshamba_hachekwi na Dahan 🤔, au nyie Ni ndugu was ukoo mmoja🤣😂😂Kwakweli sidhani sitaki unafki last year niligombana na mpenzwangu nilifikisha miez 8 nilikuwa kwenye depression Kali lakin niliteseka mno mwaka huu nafikir sita sitoboi na nikitoboa nipo mahututi 😀😀😀
Kwamba miez 6 michache au unatak had tufe😀Aisee mpaka nakuogopa, tabia hizi Ni za mshamba_hachekwi 🤔, au nyie Ni ndugu was ukoo mmoja🤣😂😂
Naam
Dahan na mshamba_hachekwi wanajua Nina scarcy ya Miaka mingapi🤣😂😂Kwamba miez 6 michache au unatak had tufe😀
Kama huna hisia za kimapenz na mtu ni kawaida lakini ukiwa na mtu mnaongea kuhusu mahusiano unahisia nae suala Hilo ni gumu mno linatak uvumilivu sanaDahan na mshamba_hachekwi wanajua Nina scarcy ya Miaka mingapi🤣😂😂
Naomba tafsiri besty, nataka ni_comment[emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Atakununia😂😂😂Naendelea kushangaa anaombaje kama analazimisha huyu jamaa😂😂😂
tukumbuke dogo ni nyuki wa mashineni😂😂😂😂Naendelea kushangaa anaombaje kama analazimisha huyu jamaa😂😂😂
You have a leg of Beer 🍻😂😂Naomba tafsiri besty, nataka ni_comment
Huyo ni wewe au??Wee sheendwaa kakichwa kangu kama STD seven leaver [emoji1787][emoji1787][emoji16]!!
Na 5 kichwa Zangu sina habareeee[emoji2960][emoji2960][emoji1787]
Kitrambo sana mnywani saii wine nahisi imeshuka hebu niraree kwanzaa 😊😊!!Ushatupia mnywaniii!
dahhh! Na baridi nyuzi joto 7 Saba! Sasa Ni mwendo wa mtange tu!Kitrambo sana mnywani saii wine nahisi imeshuka hebu niraree kwanzaa 😊😊!!
ndiwooo ni mie mkuuu ! Walinipunyua nywele Zangu nikaamua kutonea upya😊😊!!
Kwamba nini?Kitrambo sana mnywani saii wine nahisi imeshuka hebu niraree kwanzaa [emoji4][emoji4]!!