Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,003
- 45,712
Tafuta hela tu mdogo wangu halafu ukitoa usitarajie malipo toa kwa roho safi tu 😂😂😂vipi kuhusu nyie kuomba hela hata hamjajuana vema.....
Tafuta hela tu mdogo wangu halafu ukitoa usitarajie malipo toa kwa roho safi tu 😂😂😂vipi kuhusu nyie kuomba hela hata hamjajuana vema.....
Hehhe nani huyo 😂😂😂Mtunzie tunda lake yule ambaye alichomolewa ubavu wake ukaongezewa wewe. Don't fall in traps
Sijui umenielewaaaa 😬😬😬😬Unadhani ana kovu usoni kwamba utanote ndiye??
Tulieni hapo
Mliwe na mle
Heheeeee
Hudumieni tu nyie mpate tunda msilalalamike 😂😂😂vipi kuhusu nyie kuomba hela hata hamjajuana vema.....
Atakuja tu mtu sahihi, Uliyemtunzia ubavu wake ambaye hana papara na tunda. Tunda ni kitu cha ziada sana kwenye mahusiano. Mtu anayekupenda hawezi kutanguliza tamaa ya kula tunda huyo atakuwa na tamaa. Alafu tamaa yenyewe hata dk 10 haizidi ,😂😂😂Hehhe nani huyo 😂😂😂
Sawaa , thank you .
Umeongea maneno magumu kwa mtoto 🤣🤣🤣Hudumieni tu nyie mpate tunda msilalalamike 😂😂😂
Well saidAtakuja tu mtu sahihi, Uliyemtunzia ubavu wake ambaye hana papara na tunda. Tunda ni kitu cha ziada sana kwenye mahusiano. Mtu anayekupenda hawezi kutanguliza tamaa ya kula tunda huyo atakuwa na tamaa. Alafu tamaa yenyewe hata dk 10 haizidi ,😂😂😂
Muelekeze basi aeleweUmeongea maneno magumu kwa mtoto 🤣🤣🤣
mjuba👊🏾 hunaga nomaUnadhani ana kovu usoni kwamba utanote ndiye??
Tulieni hapo
Mliwe na mle
Heheeeee
Sijui umenielewaaaa 😬😬😬😬
sasa si unaona..... wakuomba naniliu aombe, wakuomba hela aombe.... tuishi😂Hudumieni tu nyie mpate tunda msilalalamike 😂😂😂
Totoo, you are missedmjuba👊🏾 hunaga noma
nashkuru mungu romance za kikorea zimenipita ningeteseka sanaTafuta hela tu mdogo wangu halafu ukitoa usitarajie malipo toa kwa roho safi tu 😂😂😂
ila hizi friendzone aisee😅Totoo, you are missed
Sasa kama unataka naniliu uwe tayari kutoboka. Ili naniliu iendelee kutunzwa siku nyingine uitamani tena na tena 😂😂😂sasa si unaona..... wakuomba naniliu aombe, wakuomba hela aombe.... tuishi😂
Msiombe mapema aiseesasa si unaona..... wakuomba naniliu aombe, wakuomba hela aombe.... tuishi😂
Asilimia 90 ya matukio unayoyaona kwenye tamthilia ni ubatili. Usije ukapoteza muda wako kuangalia huo uchafunashkuru mungu romance za kikorea zimenipita ningeteseka sana
kabisa.... yale mapenzi ya kule wameongeza sana chumviAsilimia 90 ya matukio unayoyaona kwenye tamthilia ni ubatili. Usije ukapoteza muda wako kuangalia huo uchafu
zinatengenezwa 1500/sec. nyingine lazima zipande kichwani😅mna vi maneno fulani vya ajabu sana