Kigi Makasi
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,325
- 2,590
Okayyyyy, basi ukipepesuka uangukie hapa nilipoHaikuwa foto yangu mkuu!
Okayyyyy, basi ukipepesuka uangukie hapa nilipoHaikuwa foto yangu mkuu!
Poa kipenz nashukuru Mungu tunapara muda wa kushinda jf kuchangamsha jukwaa 😍Iko vyedi sana dear tupo tunaenjoy na familia !!!
Yeees mkuuu.Ila ninanafasi ya wa nne! Afu si Unajua nilivo shabiby.
cc Bantu Lady unakumbukwa Sana na wazee wa hall 5
Njoo uninyanyue hapaaa nipo chakaliii!! 🍾🥂Okayyyyy, basi ukipepesuka uangukie hapa nilipo
Njoo uninyanyue hapaaa nipo chakaliii!! 🍾🥂
Ukiweza kuninyanyuaa nahaya maruweruwee kichwani weee mwambaaaa😁😁😁!!
kmmmk nikunyayue kukubeba au kukuweka tu mkao [emoji23][emoji23]Njoo uninyanyue hapaaa nipo chakaliii!! [emoji898][emoji1635]
Ukiweza kuninyanyuaa nahaya maruweruwee kichwani weee mwambaaaa[emoji16][emoji16][emoji16]!!
Mwendo wa ma pre_party tu!! Party kamili jumanne
Mfyuuu mkao tenaa!! Ili ugundue nini 🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🏃🏻♀️🙌😊 !kmmmk nikunyayue kukubeba au kukuweka tu mkao [emoji23][emoji23]
Ila nimekunyooshea mikono aisee!Mfyuuu mkao tenaa!! Ili ugundue nini [emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji2090][emoji119][emoji4] !
Uwe na usiku mwemaa piaaaa madamNiwatakie usikumwema
Astaghfilulaahhh mnywani🤭🤭!!Maninah cc Bantu Lady
Kisaa🤔????Ila nimekunyooshea mikono aisee!
Na babe mbali kabisa 🤭🤭🤭🤭 dunia yote itakuwa yangu.... kupendwa ndiyo huku 😍😍😍😍Mwendo wa ma pre_party tu!! Party kamili jumanne
Kamati ya kekiii na Zawadiii nipo hapaaa 20th mapema sanaaa tunalianzishaaa parteeeeee!!Mwendo wa ma pre_party tu!! Party kamili jumanne
Ongeza sautiiii wasikieee 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️♥️♥️♥️♥️Na babe mbali kabisa 🤭🤭🤭🤭 dunia yote itakuwa yangu.... kupendwa ndiyo huku 😍😍😍😍
Nimeanzia hukuHongera sana dear yanii Juzi walinifumua vibaya weaving sina hamuuu!
Ona vimikia kama mbuzi aliekatwa mkia uwiii
Nimeamua kutonea upyaaa tu