Selfika na JF: Snap it. Show it

Mie kinachouzi home, siruhusiwi kuva kinjunga, naishia kuvaa tracksuit tyuuh. Nikivaa kinjunga bas siku hiyo mshua hayupo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Nyie ni ukauzu tu kwenda mbele
Sema mna urafiki mzuri sana
Urafiki wa wanaume sio wa kinafiki. Hata tukizinguana muda mfupi tu tunayaweka sawa maisha yanaendelea

Wanawake wanaweza kujifanya wanapendana lakini wakipeana migongo tu kila mtu anamsema mwenzake. Na mkigombana kupatana ni nadra ni vinyongo na kununiana

Lakini ndivyo mlivyo toka zamani si unakumbuka simulizi la Hana na Penina au malkia Esta na Vashti kwa Bible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…