Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Nishatoka adolescence huko😍😍lips za dhahabu
Àsante mdogo wangu
Si uondoe tu hiyo saa
Itasababisha upate chunusi usoni😁
Natoa wapi chunusi 😂😂😂
Nishatoka adolescence huko😍😍lips za dhahabu
Àsante mdogo wangu
Si uondoe tu hiyo saa
Itasababisha upate chunusi usoni😁
Toka pepo 😂😂😂😂Nimeghair kwenda kanisani ngoja nika selfika kwanza chooni kimoja[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Umeweka katika lugha rahisi inayoeleweka.Kuna umri ukifika hasa huu uzee wetu inatokea jogoo anawika mara 1 au 3 tu kwa mwaka utasema yule Jogoo wa enzi ya Petro.
Ndiyo maana Wazee huwa tunasema ukitaka kufurahia Supu unywe ikiwa Yamoto [emoji847]
Hiyo saa sasa itakuleteaNishatoka adolescence huko
Natoa wapi chunusi 😂😂😂
Kweli kabisaa.Wapo aiseee
Kikubwa ni kumpenda tu huyo ke
Ninao nane😀😀Happy day.
Mkuu MTU Kama Aaliyyah ninavyojua ni MTU WA MTU mmoja.
Tinsley ni kweli kuwa hamna mwanamke WA kwako peke yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa wazee wa selfika
[emoji23][emoji23][emoji23]Ninao nane[emoji3][emoji3]
Hahaha baba wawiliHiyo saa sasa itakuletea
Shauri yako🤣🤣
Nimeweka hiyo inakaa masaa matatu😁Hahaha baba wawili
Ongeza sekunde zifike 30
Ni ngumu kudanganya mtu unayempenda . mfano unapata kila kitu kwa guy wako , unaenda nje kutafuta nn
Ndio hapo SASA. Unaanzaje Kwa mfano....Ni ngumu kudanganya mtu unayempenda . mfano unapata kila kitu kwa guy wako , unaenda nje kutafuta nn
Matatu which 😂😂😂Nimeweka hiyo inakaa masaa matatu😁
Sema kuna ile kuchokana ndo huko baadae lakini hakuna kinachoshindikana kurudisha mahaba kati yenu
Unajikuta unamcheat Ila ukikumbuka unajikuta Una Lia.Sema kuna ile kuchokana ndo huko baadae lakini hakuna kinachoshindikana kurudisha mahaba kati yenu
Wazee hatuna mambo mengi 🤪
Hakuna kitu kibaya kama majuto
Utakubal kucheza baikoko na mm kitandan,,ukikubal ntaleta mm tena na migebhukaAu kama vipi uniletee tu mwenyewe 😂
Matatu how??🤣🤣🤣🤣Matatu which 😂😂😂
Leo hata sijaview tayari imefutika .Matatu how??🤣🤣🤣🤣