Nami niko poa sanaKaribu sana
Nipo poa jirani vipi wewe ??
Akili inataka umri na mwili vinakataa.Umri hauchagui hujui nyie wazee ndo mpo romantic kuliko vijana .
Ni muhimu sana kurevive mahusiano yenu kila mara yani ndo muwe ndo kama mmekutana leo .
Upendo tu uzidi siku zote .
Mzee wa Liverpool. Heshima yako kiongoziAsante mdogo wangu
Ila hiyo saa inakuumiza itoe tuone japo lips [emoji12]
No one is too old for love aiseeAkili inataka umri na mwili vinakataa.
Labda ndugu yangu Grahams popote alipo...
Sent using Jamii Forums mobile app
HahaaAsante mdogo wangu
Ila hiyo saa inakuumiza itoe tuone japo lips 😜
Salama chief
Siku hizi naweka inakaa siku nzima muulize Dr LizzyHahaa
Tukuone na wewe mzee wa sekunde 3
Ni kweli no one is too old for love.No one is too old for love aisee
Na siku hizi ndo kabisa .
We all need someone to love,
Hakuna kitu mtafanya. [emoji23][emoji23][emoji23]Zaidi ya kucheza siku za sendoffSalama chief
Msimu wetu huu tunajipanga vizuri
Yeah someone to care for you, akuambie jinsi anavyokupenda .Ni kweli no one is too old for love.
Watu wazima bize kulea vijana
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna umri ukifika hasa huu uzee wetu inatokea jogoo anawika mara 1 au 3 tu kwa mwaka utasema yule Jogoo wa enzi ya Petro.Akili inataka umri na mwili vinakataa.
Labda ndugu yangu Grahams popote alipo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Msisahau kutuombea Wazee wenu 🤪View attachment 2660118
Muwe na sabato njema yenye baraka Tele na kumpendeza Mungu
Hakuna mwanamke wa pekee ako
Happy day.View attachment 2660118
Muwe na sabato njema yenye baraka Tele na kumpendeza Mungu
Hakuna mwanamke wa pekee ako
😍😍lips za dhahabuDuh na sijaona aisee
Duh na sijaona aisee
Wapo aiseeeHappy day.
Mkuu MTU Kama Aaliyyah ninavyojua ni MTU WA MTU mmoja.
Tinsley ni kweli kuwa hamna mwanamke WA kwako peke yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwenda kanisani na Bado unatusemaView attachment 2660118
Muwe na sabato njema yenye baraka Tele na kumpendeza Mungu
Hakuna mwanamke wa pekee ako