Mwenyezi Mungu anijaalie msimamo wangu uwe huu huu siku zote,miaka yote hadi nitakapoacha kutumia hii JF
Tatizo la humu unaweza kukutana na lets say ID ya
Sakayo Watu8 Karma Depal Hawachi labda na
Khantwe
Sasa unakuja kushangaa anayekuja kukuexpose jukwaani ni ID mpya kabisaaaa tofauti na hizo sita ulizowahi kumeet nazo....hapo ndio unapata kizunguzungu unaanza kubet sijui nani kati ya hao atakuwa kanianika?!!
Sasa why upate shida zote hizo?