Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sema tusiwalaumu ma bilionea, kuhusu strategy wanazo tumia kukuza empire zao.
👉Coz you never know, mtu kapitia yapi Hadi kufika pale. mshamba_hachekwi
they are morally corrupt at least, criminals at best....
sema we unatumia sana hisia wacha nisilikuze jambo😂 mi napenda siasa ujue....

fanya utafiti wako utaelewa nnachosema kwamba 'capitalism is ruining the world'
 
Okay, angalie usipike hivi 😂🤣 @aaliyyah
FB_IMG_16857050217388520.jpg
 
Nicolee kapiga kwenye mshono, wanaume wanaoshinda GYM na wanao act urijali, wanatoa matusi mazito mazito,

Nasemajee Nicolee ongezaa dosage hadi wapoteaneee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2659590
Hahaha hiyo kawaidaaa tuu.

Gym siku hizi miyeyusho kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nicolee kapiga kwenye mshono, wanaume wanaoshinda GYM na wanao act urijali, wanatoa matusi mazito mazito,

Nasemajee Nicolee ongezaa dosage hadi wapoteaneee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2659590
We mbona skeleton na ni shoga😂
 
Back
Top Bottom