Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huko Kigoma hakufai Bestie, Kuna Celeb mmoja kwenye Politikisi nasikia kwenye nyumba yake ana bwawa lina Mamba. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko kawaidaa km wanyasa tyuuh, kuna mtu alishangaa kwenye beseni LA kuogea bafuni mamba kajaa mzima mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huko kawaidaa km wanyasa tyuuh, kuna mtu alishangaa kwenye beseni LA kuogea bafuni mamba kajaa mzima mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna yule Mzee wa Nyasa anaongea na Mamba na wanamwelewwa kabisa. Kule Kigoma ni balaa mnoo dk moja mtu anapotea na an aibukia Dar 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom