Kwahiyo Umekoma au bado haukomi tu ???🎵🎵Wanasemaga mapenzi safari
Unavyopita ndo jinsi unajongea
Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea
Niliposikiaga habari
Yakisifika nikakesha nangojea
Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea
Ile pruuu mpaka macca
Nikadandiaga bongo movie
Kumbe mapenzi hayataki haraka
Ni kama tango natia tu chumyi
Mwenzenu nikaoza haswa
Na kujitia kitandani mjuzi
Eti nataka fukuza paka
Badala ya mbwa nikafuga mbuzi, hhhmmm
Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki
Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki🎵🎵
Shkamoo Boss
😀😀😀Acha tufurahi
Nimekoma😂🙌Kwahiyo Umekoma au bado haukomi tu ???
Safiiii
AiseeUnatujazia server
Duh!! Pole japo zamani .Niliwahi ibiwa pochi ilikua na kila kitu sema ilikua saa 6 usiku sijui nilikua najiamini nini kutembea usiku ule mwenyewe😅
Walinikomesha ila walinifundisha somo zuri🤣 maana since then hunikuti naranda nje usiku bila sababu za msingi
Laiti ningetumia hyo style simu yangu ingepona maana sikua na cash kwa pochi so kilichoniuma ni simu.
Aisee....Yan simu unaiwekaje kwa mkanda wa bra? Si itatuna?
Nilikuwa na tabia kama nimevaa suruali naiweka mfuko wa nyuma. Mara nyingi skin jeans hazinaga mifuko mbele.
Au kama ni bag naweka kale ka mfuko ka nje.. yan nilikuwa naishi as if raia wote nimezaliwa nao.
Siku 1 pale Impala.. nipande hiace za Njiro kama kawaida simu iko pembeni ya begi. Mpiga debe akaichomoa hata sijasikia 😄😄
Nikazama kwa Hiace, kumbe kuna abiria alimuona.
Basi nimeingia nimekaa, yule kaka akaniuliza simu yako iko wapi? Si ndo nacheck mifuko ya pembeni ya bag siioni.
Mara yule kaka akamwambia yule mpiga debe wewe rudisha hiyo simu sahivi kabla sijashuka...
ikarudi... basi nikamshukuru mkaka wa watu.,. Nikamlipia na nauli ☺️
Tokea hapo, nimekoma huo mtindo.
Aisee..Bro sasa si ndo akanipa ile infinix
Eti weka laini humu nikutumie picha uvimbe status.
Wai kuishika simu haina tofuti na mche wa sabuni 😂😂😂
Si ndo nikazingiziia haipeleki moto
Ila atakuwa alielewa tu sjaipenda
Umekoma kivipi ?Nimekoma😂🙌
🤣 kweli, nyonyo muhimu kuliko.🤣🤣🤣🤣🤣
Na nyonyo likiondoka ni hasara kuliko makorokoro yanayonunulika.
Yeahh....be more careful, maana ndugu zangu wanaonekana wameongeza ukorofi.🥴
Niliwahi ibiwa pochi ilikua na kila kitu sema ilikua saa 6 usiku sijui nilikua najiamini nini kutembea usiku ule mwenyewe😅
Walinikomesha ila walinifundisha somo zuri🤣 maana since then hunikuti naranda nje usiku bila sababu za msingi
Laiti ningetumia hyo style simu yangu ingepona maana sikua na cash kwa pochi so kilichoniuma ni simu.
Umekoma kivipi ?
🤣🤣🤣🤣
Sijakoma bhana nikome vipi Yan hapa had mmoja akufe ndo nitakoma😂😂Umekoma kivipi ?
🤣🤣🤣🤣
Asante sana jiraniDuh!! Pole japo zamani .
Huwa nahisi hizi bia ni kwa mabinti tu, kumbe hata masela wanazinywa?
Sijakoma bhana nikome vipi Yan hapa had mmoja akufe ndo nitakoma😂😂