Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
😍😍😍😍 miss u too mrembo AntonniaMie piah namsubiria First Lady nimemmiss hafi basi!
😍😍😍😍 miss u too mrembo AntonniaMie piah namsubiria First Lady nimemmiss hafi basi!
Pisi kali zipo nyingi nije niangukie kwa shoga kimbau mbau, tena ukome kuniambia hivyoWee Kaka unanipenda na unanikubaliii mnoo, ndo maaana unanifuatilia kuliko unavyo fuatilia hizo njugu zako 2 unazohifadhi ndani ya boxer.
Au hujui kutongozaaa? Unaniogopaaa?fungukaaaaaaa!!!
Huwa haiombwii hivyoo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unakumbuka ile ahadi yangu ya kwenda kazimoto eeh😊
Huyo Shoga anakupa wakati wa kumfuatilia kwa undani kuliko hao pisi kali? Bas huyo shoga kuna kitu kawazidi hao pisi kalii wako.Pisi kali zipo nyingi nije niangukie kwa shoga kimbau mbau, tena ukome kuniambia hivyo
Chino ake nakumiss pia sana. Leo ya ubingwa NBC huku tukisubiria tumalize Ice cream za Azam. Mpira ukiisha usikae mbali Chino 😅😅😅Mama la mama! Chino mpaka nakonda
Bora upoo sitahangaika kukusevia 🤳 ya Mbantyuu lol!!Mama la mama! Chino mpaka nakonda
Kausha mzee, tusivunjiane heshima.Mkikubaliana mniambie niwasindikize guest nione style mpya nasikia kuna style ya bandari Dubai
Na uko buzzy mda wote kuifatilia hiyo laana??Shoga laana hio nipeleke wapi
Asantreeeeeeeeeeeh!!! Daima mbereeeee💛💛💚💚💪💪💪Chino ake nakumiss pia sana. Leo ya ubingwa NBC huku tukisubiria tumalize Ice cream za Azam. Mpira ukiisha usikae mbali Chino 😅😅😅
Ngoja niweke chaji kabisa ki_tecno changu hapa kisije kukata moto.Chino ake nakumiss pia sana. Leo ya ubingwa NBC huku tukisubiria tumalize Ice cream za Azam. Mpira ukiisha usikae mbali Chino 😅😅😅
Kasema tusijareee badae atapita nakedd kabesaaaa mnywaniiAfanye hivo mnywani!
Anataka tukufwee
Cappuccino?Siwezi kusahau hata kwa dawa!!! Ila njoo uninunulie coffee kwanza!😊
View attachment 2655037
Ahahahhaahah umenikumbusha mbali nilisikia kuna style ya loy tour 🤣🤣🤣Mkikubaliana mniambie niwasindikize guest nione style mpya nasikia kuna style ya bandari Dubai
Mi mwenyewe naweka chaji ki Itel changu kina 6 years hapaaa nikizubaa rubbeband ikiachia kinaripukaa😁😁Ngoja niweke chaji kabisa ki_tecno changu hapa kisije kukata moto.
Shame darling!Siwezi kusahau hata kwa dawa!!! Ila njoo uninunulie coffee kwanza!😊
View attachment 2655037
Best mbona sikuiz unanichunia ata salamu utaki whyMi mwenyewe naweka chaji ki Itel changu hapaaa nikizubaa rubbeband ikiachia kinaripukaa😁😁
Unaongea na mie au umechanganya quote mkuu???🤔??Best mbona sikuiz unanichunia ata salamu utaki why