Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hata sijui nacheka nn, woiiiiiiiiiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],
 
Mi mwenyewe naweka chaji ki Itel changu kina 6 years hapaaa nikizubaa rubbeband ikiachia kinaripukaa😁😁
Kiweke tuje tupate mambo mazuri Kama ile selfie ya last time

mnywani kila nikijaribu ifuta ile selfie ubongoni inagoma kabisa ati
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah jamanii mie sitakiii.
Mbavu zinauma kwa kuchekaaa, uwiiiiiih
 
Huyo Shoga anakupa wakati wa kumfuatilia kwa undani kuliko hao pisi kali? Bas huyo shoga kuna kitu kawazidi hao pisi kalii wako.
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
watu weuweeeeeeeee
Na uko buzzy mda wote kuifatilia hiyo laana??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Dj Waleteeeeee.
Siwezi poteza muda wangu, nilisahau kuna ignore button, una udhi, pisi kali humu zinapost picha we kazi yako kutwa kucha kupost vi imoji unajichekesha kama chizi la milembe, hau fit kwenye huu uzi na wengi hawakuelewi, fuatilia kimya kimya kama huna cha maana unatia kichefu chefu.
 
Ilaa wewe ndio mkorofi hapo kunna usemi wanasema

Achana na maisha ya watu kabisa utaishi sana
 
Siwezi poteza muda wangu, nilisahau kuna ignore button, una udhi, pisi kali humu zinapost picha we kazi yako kutwa kucha kupost vi imoji unajichekesha kama chizi la milembe, hau fit kwenye huu uzi na wengi hawakuelewi, fuatilia kimya kimya kama huna cha maana unatia kichefu chefu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi ukiwa na stress ndo uhamishie kwangu??nawee post vi emoji vya kujichekeshaa, hao pisi kali uhuru ni wao kupost,

Huu uzi nipoo sanaaaa, ko mateso kwako ni endelevuu.
Kaa kwa nywilaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahahahhaha ile watu wengi walikuwa hawalipe di jina so ikabid nirudishe jina la mwazo
Lol kumbeee mi nikahisi huyu mtu mgeniiii selfika ila nikashangaa mgeni gani anabagua wa kuongea naoo lol😊😊!! !!
Fanya uibles Jioni yangu kwanzaa besttt au utatupia badae yanga tukishafanya yeitruu???
 
Lol kumbeee mi nikahisi huyu mtu mgeniiii selfika ila nikashangaa mgeni gani anabagua wa kuongea naoo lol😊😊!! !!
Fanya uibles Jioni yangu kwanzaa besttt au utatupia badae yanga tukishafanya yeitruu???
Ahahhahah usijar kabisa ilo limepita kwa tiki kubwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila Selfikaa hapana kwa kweliii.
Mie nshaizoea, najioneaa manjegekaa tyuuh.

Watu mkae kwa nywilaaa, ogopa matapeliii.
Woiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom