Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

😀😀😀 uliinjoi sana hiyo pisi, yaani automatic unakuta una hamu tu ya kurudi home coz mrembo hana gubu lazima wana wakusahau kwa kijiwe. Sijui kwa nini mahusiano matamu kama hayo huwa hayadumu
😅😅 banaa shetani ana nongwaa sana . yani unafanya harakari unawaza home tu.. ile umemaliza shwaa home.. unakuta mtoto nae karudi anakuvua shati, viatu suruwali anakupigia story kuondoa uchovu.. unaandaliwa chakula upendacho then unaogaaa unamkuta kitandani na kakanga kepesiii.. .. unaanzia wapi kuwa ku cheat mzee.. 😅😅😅😅 mtoto mwenye mnono kishenzi
 
😀😀😀 kwa mwendo huo huwezi kufikiria kucheat unakuta siku za weekend mtoto anakufanyia massage ukimaliza kula msosi mtamu unamla na mpishi mwenyewe

🎶 Ya nini, kuwa waruwaru nikuumize uende
Kwanini, niwe wa kuchovyachovya nikauingia mkenge
Niamini, nawe usije pata bichwa ukaota mapembe
Sababu wewe mzuri umepitiliza
Penzi lako mi linaniliza 🎶
 
😅😅 banaa shetani ana nongwaa sana . yani unafanya harakari unawaza home tu.. ile umemaliza shwaa home.. unakuta mtoto nae karudi anakuvua shati, viatu suruwali anakupigia story kuondoa uchovu.. unaandaliwa chakula upendacho then unaogaaa unamkuta kitandani na kakanga kepesiii.. .. unaanzia wapi kuwa ku cheat mzee.. 😅😅😅😅 mtoto mwenye mnono kishenzi
Unakuta pisi kama hii ndo inakufanyia hizo mambo 😋

20230601_212623.jpg
 
Oh Lady boss umetingwa na kazi za klayanti.

😁😁 huu unakaribia muda wa Jua kali, nitaianza wkend.
Mabosss ladies ni wale nilikua nawaibia notes mchana. Mi mpaka niache kuvaa sleepers kwenye meetings ndo ntaanza kuchukuliwa serious!🙈😁😁

Enjoy mwaya, ngoja mi nijiibie kausingizi kidogo kabla  klayanti hajaniteka tena!😵😵
 
Lady boss usiye na makuu 😄 had kwa meeting unaenda na slipa!!
Hee maklayanti si watakuzoea sana 😄
 
Back
Top Bottom