Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,209
- 183,056
Ushanifanya mie bibi yako ehhh mxxiewww! Yako ikwapi? Mi mwenyewe natumia ki tecno!!Najua Sana, ila nimevutiwa na hiyo kudindazzz. Week kwanza selfie ya uso 🤗🤗
Ushanifanya mie bibi yako ehhh mxxiewww! Yako ikwapi? Mi mwenyewe natumia ki tecno!!Najua Sana, ila nimevutiwa na hiyo kudindazzz. Week kwanza selfie ya uso 🤗🤗
Sitaki kujichoshaSoma comments za juu utaelewa😀
Hii ngeni kwangu kifurushi gani ikoMi naangaliaga kwa jirani, analipia 35- tuna check mieleka, b4u, star life na channel kibao za movie😂😂
Mimi siyajui hayo😅😅 hutaki kuona mzigo weyeee
Ana wezeleee moyaaa matataa sanaa.. la kupigia nyetooo 😅😅Mimi siyajui hayo
Ngoja nikamuulize jiranii😂😂, ila nasikia kinaitwaga shangwe au family Ni fireHii ngeni kwangu kifurushi gani iko
Nisisubiri sana tafadhali!!!☺️NitakuPM😀
haha magari y bei rahis utafik Dar umechokaOya nimepigwa ase na kitu kizito nimelipia nauli gar mkweche imagen now ndio tunapita mafinga
Shem ya kweli hay🙄🙄 AntonniaAna wezeleee moyaaa matataa sanaa.. la kupigia nyetooo 😅😅
Pulizio shemeji, shemela,Ushanifanya mie bibi yako ehhh mxxiewww! Yako ikwapi? Mi mwenyewe natumia ki tecno!!
Mimi bado sijabalehee 😂😂Ana wezeleee moyaaa matataa sanaa.. la kupigia nyetooo 😅😅
Uliza kwaza uje na evidenceNgoja nikamuulize jiranii😂😂, ila nasikia kinaitwaga shangwe au family Ni fire
Channel za movie👉tnt Africa, kix, b4u- India, mnet 108, mnet 137, 128- WWE official channel
Ungejua nipigwa 45haha magari y bei rahis utafik Dar umechoka
Ndo hivyo kijanaUliza kwaza uje na evidence
Selfie pulizii😑😐🤨
Natumia mitindi yote shangazi yangu mzurii hasa ule wa watoto wachangaaa 😅😅