Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Shangazeeeeeeeeee Antonnia 😊😊😊View attachment 2642832

🎶 Oh my baby, hope you never leave me
Leave me when I need you
Leave me when I need you the most
Am craving, yes you know am craving
Craving for you body
Yes you know I want you for long
You the somebody son
Eh sister Tiwa gom find me
iiiih
Na wewe ndo unanifaa aah wengi wananitamanii ooohh 🎶
 
Yeahh, ila nimeishia episode 4, sina muda wakuangalia tena series mpaka next month huko.😵😵😵

Utaipenda, japo story sio yakutiiiiisha kivile.😶‍🌫️
Oh Lady boss umetingwa na kazi za klayanti.

😁😁 huu unakaribia muda wa Jua kali, nitaianza wkend.
 
🎶 Oh my baby, hope you never leave me
Leave me when I need you
Leave me when I need you the most
Am craving, yes you know am craving
Craving for you body
Yes you know I want you for long
You the somebody son
Eh sister Tiwa gom find me
iiiih
Na wewe ndo unanifaa aah wengi wananitamanii ooohh 🎶
😅😅😅😅 kumbe una imanyaaa
 
Sana aisee naimanya hii ngoma iko kwa playslist yangu, mtoto Zuhura kalalamika sana humo. Imagine mrembo anakuambia maneno kama yale mwanawane 😀😀😀

Na wewe ndo unanifaa aah wengi wananitamanii ooohh 😍
alafu awe akuombi hela , yani anakupenda ile natural tu, alafu pisi kali na kitandani inayaweza unafikiri utaanzia wapi kucheat 😅😅
 
alafu awe akuombi hela , yani anakipenda ila natural tu, alafu pisi kali na kitandani inayaweza unafikiri utaanzia wapi kucheat 😅😅
Hahaa lazima unawiri aisee utaona dunia yote yako, ukitoka mishe haina tena kupitia liquor stores moja kwa moja nyumbani kula mema ya nchi kama Jux yaani;

🎶Sasa mapema
Narudi nyumbani
Vitu navikuta mezani
Sili sili vya mtaani mwenzenu (kwa sasa)🎶
 
Hahaa lazima unawiri aisee utaona dunia yote yako, ukitoka mishe haina tena kupitia liquor stores moja kwa moja nyumbani kula mema ya nchi kama Jux yaani;

🎶Sasa mapema
Narudi nyumbani
Vitu navikuta mezani
Siri siri vya mtaani mwenzenu (kwa sasa)🎶
😅😅😅 Kuna kipindi nilikuwa naishi na pisi moja matataa sanaa . kijiweni nilipoteaga miaka miwili.. mie ndani na kwenye harakati.. sikuwa ku cheat kuna rahaaa ya kuwa na kitu cha maana
 
😅😅😅 Kuna kipindi nilikuwa naishi na pisi moja matataa sanaa . kijiweni nilipoteaga miaka miwili.. mie ndani na kwenye harakati.. sikuwa ku cheat kuna rahaaa ya kuwa na kitu cha maana
😀😀😀 uliinjoi sana hiyo pisi, yaani automatic unakuta una hamu tu ya kurudi home coz mrembo hana gubu lazima wana wakusahau kwa kijiwe. Sijui kwa nini mahusiano matamu kama hayo huwa hayadumu
 
Back
Top Bottom