Inasikitisha sana. Binafsi nilishakuwa Mwalimu kinondoni Muslim sikuwahi hata tongoza.. ukichezea wa mwenzako leo jiandae wako au ndugu zako.. naogopa sana kuchezea mtu awe mtoto au awe mkubwa.. walimu wanakuwa wahuni kwasababu hawana access ya kupiga parefu
Sio kitu nzuri, huo ni uharibifu wa watoto, ni kitu cha kukemewa, mwalimu ni mlezi wa mtoto, kama mtu anae aminika kama mlezi anakuwa anafanya hivyo ni kosa kubwa sana. Wachomee wale mvua aisee