Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji444]Subira umesubiri umesubiri sana
Nn sijakuridhisha,kukupenda nakupenda sana
Nakupenda sana kipi Cha kukupa presha
Ama.massage nying sana ooh
Ndo zinazokutisha aah
Au missed call nying sana
Roho zakupeperusha
Kama ni hamu ushanimaliza huo utamu
Mpaka nasaza vingine sumu zitaniumiza ooh[emoji444][emoji444]
Antonnia

Kumbe unajua kuimba soon nakufungulia uzi na mm [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
[emoji444][emoji444]Sasa ninawaambia ,Kijana yupo makini
Wala haitji kocha maximo Yuko chin
Haitaji msaada wa jezi kiwanja anacho ndani
Anafyatua vifaa kama yupo marekani eeh[emoji444][emoji444][emoji444]
Antonnia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangaziii naomba niwacheee, nimecheka km chiziii, kweli likizo imebambaaa.
Woiiiiiih
 
[emoji444]Hebu lala uamke nikiwa na mbali na wee
Hebu kulakikushuke ukipenda jishebedue
Wasikutishe akili wasikutibue
Wanaoleta sekeseke ,waambie ooh bibi unitue
Utapewa maneno na wapekewape
Ukose Raha usichangamke
Pembeni uweke mm ndo wako naekufanya ucheke[emoji444]
Kumekuchaaaaaaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom