Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji444]Subira umesubiri umesubiri sana
Nn sijakuridhisha,kukupenda nakupenda sana
Nakupenda sana kipi Cha kukupa presha
Ama.massage nying sana ooh
Ndo zinazokutisha aah
Au missed call nying sana
Roho zakupeperusha
Kama ni hamu ushanimaliza huo utamu
Mpaka nasaza vingine sumu zitaniumiza ooh[emoji444][emoji444]
Antonnia
Wapiiii shangaziii akeee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya nikupelekee studios. Mweeeeh
 
[emoji444]Na yangu mengi mahitaji sinamida huo
Mimi nalisaka tonge Ili liende kinywani
Sijatia mazonge kujitia mashakani
Niende huku niende kule kuitafuta Riziki
Sio kupiga kelele kujiongezea dhiki[emoji444]
Hahah huu wimbo wa taarab.

Kwa wale wakazi wa tanga mjini daladala nyingi mwendo wa taarabu speaker kubwa.

Young blood unazikumbuka daladala zenu za kisosora nguvumali??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shangazi shule zifunguliwe harakaa, watakukosaa wee, watashangaa ushakua Sabaha muchacho. Uwiiiiih
😂😂😂Jana Ilikuwa siku ya kucheza mziki
Leo kuimba no stress sabaha Niko hapa 😂😂😂
 
Back
Top Bottom