Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Kitambia kibaya wanawake hawataki mwanaume mwenye kitambi kitambi kinazui kufanya kazi ipasavyo ufiki kibo kwa harakaunakula kidogo mno....
Kitambia kibaya wanawake hawataki mwanaume mwenye kitambi kitambi kinazui kufanya kazi ipasavyo ufiki kibo kwa harakaunakula kidogo mno....
pesa.mkuu tunabishana kila siku, pesa sio deciding factor 😂
sijasema hivi kabisa😂 ndo unavoonaga kumbeukimkunja vizuri hakuna haja ya pesa.
sawa ila wewe unaonja hauli 😂Kitambia kibaya wanawake hawataki mwanaume mwenye kitambi kitambi kinazui kufanya kazi ipasavyo ufiki kibo kwa haraka
Depal sisi tunashinda humu....View attachment 2638123
Najua mawazo yako, haya nidanganye wewe unasemajesijasema hivi kabisa😂 ndo unavoonaga kumbe
Natafuta passport niende zangu uhindini mie, niwaachie nchi yenu
wealth is not guaranteed.... si unakumbuka 😂Najua mawazo yako, haya nidanganye wewe unasemaje
Huyo mtoto na mwenzake Mwachiluwi wazisake sana tu.
Nina minyoooo 😂😂😂😂nasubili dawa za bure za serikali bado hazijapita mtaani kwetusawa ila wewe unaonja hauli 😂
Ukapike bagia huko😂Natafuta passport niende zangu uhindini mie, niwaachie nchi yenu
Kwahiyo unataka kusemaje?Wanaleta maneno mengi wakati hata wao wanajua bila pesa hawajapendeza.
Watambue hela wanayonunua snickers wakapendeza nazo mwama mzima mtaani, inatosha kukupaka rangi ya kucha pekee, tena inakaa wiki 1 tu Depal mshamba_hachekwi na Mwachiluwi
It can be guaranteed if you know how to...... 😅wealth is not guaranteed.... si unakumbuka 😂
Usihesabie hela mfukoni kama mshamba_hachekwi, si unaona Depal analalamika😅Kwahiyo unataka kusemaje?
bamia,nyanya chungu aisee hivi vitu ni kazi sana kwangu kula hasa bamia.Depal sisi tunashinda humu....View attachment 2638123
🤣🤣🤣 Antonnia akikusikia?🤭Bora niwe singo kuliko kudate na pisi ya YANGA kwanza wana U.T.I [emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Na kachori🤣🤣Ukapike bagia huko😂
Tafuta hela weweKwanini nipande ndege wakat mabasi yapo unaangalia na madhari ya tz kitonga nitaionaje?
Ahahah uyo mshamba_hachekwi huyo bahiri by nature huwezi kumuelimishaUsihesabie hela mfukoni kama mshamba_hachekwi, si unaona Depal analalamika😅
Njoo unipe mrejesho wa jana kwaza 😂😂Tafuta hela wewe