and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 4,515
- 14,987
Depal nakuachia msala
Depal nakuachia msala
Kuna siku imepita hujasema unasoma UD kweli?Afu siringii wala nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itajaa glass kweli? Hutoenjoy 🤣
Anaendelea kuzingua, anadanganya wazazi alikopotezea gari.Jamani muonee huruma hata kidogo Carlton!😁😁
Jazz wa zamani namuongelea aliyekua kwenye OG Prince Of Bel Air . Kama hujaiona itafute ukiwa na muda, utaenjoy.
Sasa hivi kuna series nyingi nzuri, by the time unaikumbuka Bel Air, na muda wakutoka unakua umekaribia!🙂
Jana, juzi.Kuna siku imepita hujasema unasoma UD kweli?
Ice cream yenyewe ukwaju, kuna milkshake ya ukwaju?Itajaa glass kweli? Hutoenjoy 🤣
Yaani ndiyo natoka kanisani; almanusura nigongwe na "ganagana" nilivyoona habari ya ubuyu. Nimwagie sasaHeaven Sent
Mama maleziii uko wapiiiiii??? Chimbo kumenogaaaa kuna bonge LA ubuyuuu, sina kifua cha kuweka hili, naupenda moyo wangu badoo.
Ufanyee ukujee nikupatieee mbea mwenzanguu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hizo ni level nyingine mwanangu 😂
🤣🤣🤣uwii kale katoto ka ice creamIce cream yenyewe ukwaju, kuna milkshake ya ukwaju?
hujafikia? 😂hizo ni level nyingine mwanangu 😂
tafta hela dar-mbeya ni masaa 2 tu😂 kumbe iphone unayo bure tu....Nishachoka sifikiii tu 😂😂
ukifika huko hakuna kurudi ni hatari sana😂hujafikia? 😂
Inbox itakujiaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani ndiyo natoka kanisani; almanusura nigongwe na "ganagana" nilivyoona habari ya ubuyu. Nimwagie sasa
Tutakupeleka sober house 😂ukifika huko hakuna kurudi ni hatari sana😂
Aiseee 😂😂😂😂tafta hela dar-mbeya ni masaa 2 tu😂 kumbe iphone unayo bure tu....
mi nilivoona suti na miwani nikajua jamaa fogo 😂Aiseee 😂😂😂😂
Kwamba adake mwewe
Unasoma nini hapo urubani?Jana, juzi.
Km umeona kalete screenshots au kan quote.
Afu hakna sheria inakataza mtu kusema anakosoma au anako ishi, mda wowote, saa yoyote, hakuna limitations.
Tatizo lako unanifatilia sanaa afu unakutana na kitu ambacho hupendi kukiona, unabakii kuumia na kutesekaaa
Poleeeeee![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sio kwamba ni suti za usabatoni 😂mi nilivoona suti na miwani nikajua jamaa fogo 😂