Kisa?Nilinunua iyo simu ili usiku nisile tu
Sawa chako kina pungasese na fangashaha kitambi chako kina minyoo
Leo mbna kakomaaa, nilivyo mpana nkamuungia coco DM acha nimchambeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa?
Sawa chako kina pungasese na fangas
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niko winja winjaaa huko twitter, jamani umemuonaa mke wa herode?? Ni kisu balaaaaa.
Nime mdm coco kumchambaaaaa, leo hana hamu
Anavyojishaua na kikatuni wakee dadekiiiii.
Yaan kikatuni kazimwa hana hamu, tangu jana hayuko online, kisa kuwa EFM eti anatambia watu ana mshahara wa 7digits [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Herodee kamuungia juu kwa juu, aoneshe bank statements ya 3months, na vyeti vya O level.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pambeeee,. Wapwaa na majobless tunamkaanga kikatuni na best yake Mapua. Woiiiiiiiiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mke wa herodee ni kisuuu, afu km mnyarwandaa Fulani, mie kile kishepu na jichooo awww.Wanazengo wamevuka mbali wanasema kuwa herode kamzidi Hadi mke
Ila wapwaa mnakanda watu balaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini, wapi....You tell me....pesa tutakaa kwenye meza tutakubaliana hamna shida mimi na wewe hatushidwani 😊 si unajua kuna JF family discount😅😅😅😅😅
Lini, wapi na sh. ngapi??🤓
Utakuwa ndo wewe si bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi mambo za kujimwambafai mitandaoni sio nzuri ndo yaliyomwaibisha denge
Mke wa herodee ni kisuuu, afu km mnyarwandaa Fulani, mie kile kishepu na jichooo awww.
Herodee ana balaaaa
Yaan huko twitter ni balaaaa, yule mbwaa aliwahi kuninyaliiii, mbna leoo niko winjaaa winjaa kusagiaa kunguniii.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimetafuta huu umbeya hapa JF sijaona
Nimependa wapwa walivyomkaanga kikatuni maana amezidi[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona saiv joti ka laminate tweets zao kabisa
Kila mtu yuko upande wa herode hadi huyo coco[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Ila nimefurahi sana wacha apikwe maana aliona yeye ni elon musk wa bongo shwaiiinnnn
Ananiogopa kama ukoma nitawatwanga wotemshamba_hachekwi si unaona dogo anajipiga majungu njoo umpige makofi
Jamaniiii dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] twitter itulie sasa, khaaaaahWacha wamkaange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amezidiiiiiiii
Wanaona wao ndo wapendanao bongo nzima
Sema tu😂kuna kitu nataka kusema ila ntaonekana nina tabia mbaya 😂😂
Nasimama na mke WA kikatuni.Mke wa herodee ni kisuuu, afu km mnyarwandaa Fulani, mie kile kishepu na jichooo awww.
Herodee ana balaaaa
Vawulenceeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wapwa sio watu wazuri
Mbona walkua wanamsifia frenchfries na komwe lake[emoji38]
We dont want peace[emoji23][emoji23][emoji23]
Vayolens activated
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kikatuni kazidiwa hadi Mke sasa ataambia nn watuu??? Woiiiiih
😂😂😂😂Yaan huko twitter ni balaaaa, yule mbwaa aliwahi kuninyaliiii, mbna leoo niko winjaaa winjaa kusagiaa kunguniii.
Linadharau watu kumbe hata vyeti vya fomu foo alifojii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kisa ana followers 1mil bas anajiona twitter ndo yakeee, harudii tenaaa mbwaa yuleee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Friday is for vayolenceeeeee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wapwa sio watu wazuri
Mbona walkua wanamsifia frenchfries na komwe lake[emoji38]
We dont want peace[emoji23][emoji23][emoji23]
Vayolens activated