Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hili ua jamani
Ua hili litanipofusha macho
Nipitishie hapa Basihaya
Linunue ulifiche!!!😁😁

Usiondoke nafika muda sio mrefu....
20230527_174325.jpg
 
Wee Denge alizidi mnooo, kuna siku tulibishanaa sanaa twitter kuhusu suala fulanii hivi, nilimuambia ukwelii kuwa iko sikuu utakaangwaa wee na hutaamini.

Jana Mfalme herodee kampa mapigo makaliii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazengo wamevuka mbali wanasema kuwa herode kamzidi Hadi mke

Ila wapwaa mnakanda watu balaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom