Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,334
Ngoja na mimi nijimwambafai jf sasaivUtakuwa ndo wewe si bure 🤣🤣🤣
Hizi mambo za kujimwambafai mitandaoni sio nzuri ndo yaliyomwaibisha denge
Ngoja na mimi nijimwambafai jf sasaivUtakuwa ndo wewe si bure 🤣🤣🤣
Hizi mambo za kujimwambafai mitandaoni sio nzuri ndo yaliyomwaibisha denge
Wewe hautupi shida tunakujua eyi tu zediNgoja na mimi nijimwambafai jf sasaiv
Kuna muda nakuwa sstrees so nakuwa jf kwa utaniSasa mbona unaanza kutupanga mapema kama unaoa😅
Bado sna kunijua zWewe hautupi shida tunakujua eyi tu zedi
Nikiingia tu nakupa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee hebu kaa kwa password.
Kashughuli kako kadogo usitusumbue Peterrabbit atamaliza kila kitu 🤣🤣🤣Kuna muda nakuwa sstrees so nakuwa jf kwa utani
Wee Denge alizidi mnooo, kuna siku tulibishanaa sanaa twitter kuhusu suala fulanii hivi, nilimuambia ukwelii kuwa iko sikuu utakaangwaa wee na hutaamini.Utakuwa ndo wewe si bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi mambo za kujimwambafai mitandaoni sio nzuri ndo yaliyomwaibisha denge
Ingiaa nna I'd 2 kulee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikiingia tu nakupa
Mbanga wako ndio hali bila we?we waache hao mambanga😂 hawajui mi ni sponsor kuna mtu hali bila mimi
Anapendeka kirahisi sana huyu mBebé jamani!☺️🤩Mack Air kama Mackbook 😍
Mtoto yuko msoft huyooo
Hahaa wewe hunidanganyi kitu jimwambafai uoneBado sna kunijua z
Ahhahha mnanionea kisa last bornKashughuli kako kadogo usitusumbue Peterrabbit atamaliza kila kitu 🤣🤣🤣
Siwezg izo mamboHahaa wewe hunidanganyi kitu jimwambafai uone
Aahahahaa ila najua mimi na wewe hatugomban utanitajia zote nitakufollowIngiaa nna I'd 2 kulee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha coca mpana sana weweWee Denge alizidi mnooo, kuna siku tulibishanaa sanaa twitter kuhusu suala fulanii hivi, nilimuambia ukwelii kuwa iko sikuu utakaangwaa wee na hutaamini.
Jana Mfalme herodee kampa mapigo makaliii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bahiri wewe 😂😂
Tatizo lenu malast born mnadeka sana tunataka tukukomaze mtoto wa mama wewe 😀Ahhahha mnanionea kisa last born
Haya mzee wa wavuvi kemp nimeuona uzi wako 😅😅Siwezg izo mambo
Mimi napiga chuma ujueTatizo lenu malast born mnadeka sana tunataka tukukomaze mtoto wa mama wewe 😀
Acha ubwegeee wewe 😂😂Haya mzee wa wavuvi kemp nimeuona uzi wako 😅😅