Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
Okay, maana kuna 2 zipo humu sijazifuta bado...ila ni za viatu challengeYoyote ambayo wewe upo [emoji16]
Okay, maana kuna 2 zipo humu sijazifuta bado...ila ni za viatu challengeYoyote ambayo wewe upo [emoji16]
Anasauti fulani hv ya bezi.. basi mm napenda mwanamke mwenye sauti hyo ya bezi!Yeah hata mie nampenda jinsi anavyoongea na anavyoigiza,, nimemkubali sana kwenye Avengers zote..
Okay, maana kuna 2 zipo humu sijazifuta bado...ila ni za viatu challenge
Humu nilikua naona picha mwanzoni mwa huu uzi,sa hivi wengi wakiweka nakuta nimechelewa kuona wamefuta
Wewe sijawahi kuona hata viatu,naona unachat tu...wewe na Hawachi [emoji16]
Kumbe yalikuwa n mashauzi? Me sikujua asee 😂😂😂Najishauwa unikaribishe afu unaniambia ntakabwa acha uchoyo,ulishawahi kuona wapi mbwa koko kakabwa na mfupa.
Fanya ukujeeMiaka mingi sana sijasogea kipande hiyo, amost 18/19yrs...
Hiyo main building naona bado ipo kama zamani tu...
Siku moja nitasogea hiyo side ya dunia, nimemiss sana maisha ya Chuga/Moshi/Marangu na Mwanga (hizi zilikuwa ndio vijiwe zngu nikiwa nafanyabmaisha huko kaskazini)
Kinapoa ujueUnibashkie mimi
@sakayo yupo bize anatafuta mkate.
Heloooo...You're too smarter than your age.
I love you.
OhhhhSio dada uyo[emoji41][emoji41][emoji41]
Kumbe yalikuwa n mashauzi? Me sikujua asee [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbwa koko wa kishua au changanyikeni?
GoodSijambo mimi jamani
Hii ni yenu sote. Sio ya kukosaSio kwa bahati hii[emoji119][emoji119]
Nitakusaidia kusoma mpenziNitaaminije?
Naunga mkonyo juhudi zako mkuuu.Wadada muwe mnaweka ata tupaja basi[emoji41]View attachment 1272363
Hujambo....Nitaaminije?