Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Haya bana mkubwa hakombi mboga...!!
Haya bana mkubwa hakombi mboga...!!
Mith you too Ambiele.Atoto nimekumithView attachment 1272234
Hv toka lini unamtania jirani yako ww mtuMama wenger ana kishunduu..
Hongera zake..![]()
Wachomoa betri ninaowafahamu ni wanne hadi sasa na kati yao hakuna hata mwenye busara ni mafurushi ya kujitosheleza.huo mstari huwezi kuwapata wadada wa humu unazingua bana...wa humu ndio hao hao tupo nao mtaani kila siku.
Uwe unazihifadhi halafu unanitumia mkwe.Nani aliwaambia mlale mapema, tena zilikuwa hazina emoji wala ukungu...
Nimefurahi kukuona mkwe wangu.Nipo okay mkwe, rabsha tu ya siku mbili tatu...
Mekumiss wewe sana tu



Wachomoa netri ninaowafahamu ni wanne hadi sasa na kati yao hakuna hata mwenye busara ni mafurushi ya kujitosheleza.
Basi inapobidi uniletee zawadi jamani.Hahahah mkwe...nipo kolomije na nipo pia zizi la mabeberu inapobidi
Hapa wapi??? Kama napajua hivi
Na kila siku wanaongezeka, wengine hawana adabu sijui unawaokota wapi
Wewe sio wa kunifanyia hivi jamani auntie!!!







Mume wake ndio aliwapa hilo jina michepuko. Mie ni mjumbe tu jamani.





Mafichoni sio salamaNjoo basi mafichoni
Wewe humpi hela eeehhh
Mkwe kwa nani eti jamaniNimefurahi kukuona mkwe wangu.
Yule ni furushi namba mbili kati ya hao wanne. Eti walevi ndio mko poa!!!Aaaah umemsahau yule rais wa urusi anavyowaandikia magazeti ya ushauri?
Walevi ndio tupo poa basi tu hamtuelewi![]()


