Mi si nilishawekaNimekuja speed nikajua umeweka picha
Joanah una nini lakini Yaani nimeshindwa kumuandalia shemeji yako chakula mbio kuwahi tag yako nikajua umeweka picha nimechukiaaa.
Hahah...we si unaona venye iko...haijapigwa bustanini au kaunta ya juu kama venye wengine wanafanyawhy?
Pako kama maeneo flan hivi ya moshi.. Pazuri balaa
Russia kuna baridi si la kawaida... Sijui watu wanaweza vipi kuishi sehemu kama hiiView attachment 1272530
Hii sketi nyekundu sijui nikionaga daa ninanitesaWazee wa droo
Hahah...we si unaona venye iko...haijapigwa bustanini au kaunta ya juu kama venye wengine wanafanya
Dogo tunazoeana vibaya siku hiziUnakomba mboga![]()
Mi si nilishaweka
Deal
Lazima iwe ya namna fulani au yoyote tu?
Kuna nini? Mbona umekuja na mkwara?Dogo tunazoeana vibaya siku hizi
Joanah una nini lakini Yaani nimeshindwa kumuandalia shemeji yako chakula mbio kuwahi tag yako nikajua umeweka picha nimechukiaaa.
Wewe endeleaKuna nini? Mbona umekuja na mkwara?
Sawa ngoja niendelee.Wewe endelea