Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Unasikitika nn ss,kwa mpira n jambo la kawaida sanaa
Mpira ni sehemu ya maisha ya kawaida ndio but kwa jicho lingine ni zaidi ya maisha, Wanasema mtu wa anaweza kua tayari kubadilisha dini, kubadilisha mke, kubadilisha jina lakini sio timu yake ya mpira

(kubadilisha dini/mke si jambo la kitoto but ni rahisi kwa mtu kufanya than kubadilisha timu yake ya mpira) point yangu ni kwamba uone tu kua mpira ni zaidi ya maisha kwa wadau wake lakini
 
Back
Top Bottom