Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Niiweke kwenye ile portfolio yangu???😯Picha kali sana hio.
Niiweke kwenye ile portfolio yangu???😯Picha kali sana hio.
we huli 😊Nimeshakuzoom!! Karibu ☕️
View attachment 2634071
Nataka niishi kwa biskuti!😁we huli 😊
asante.. hiyo ingine ongeza kikombe basiNataka niishi kwa biskuti!😁
Aseeeeh niko fiti kwa sasaDuuuh pole sana
Itapendeza sana🙂Niiweke kwenye ile portfolio yangu???😯
Ma vifo aya acha tuUna stress gani Mkuu,
Pole sana.
Ila ungekula hata kidogo ndipo unywe.
Hahahaa sawa bossA
hahaha sitaki kumwagiwa majihayo mambo wanafsnyiwa watu wasio na pesa mimi nimwagieni pesa na henessy
NakaziaNitakumwagia zanzi 😂😂
tumeshakupoteza.... ngoja ukiondoka kwa shemeji utaanza kula dagaa 😂A soseje nini
Unataka vikombe viwili???🙄asante.. hiyo ingine ongeza kikombe basi
Nkamu leo umewahi sana
Mwili haujengwi kwa tofali
Bila 'sssssssss' husikilizi mchugastan, upo sawa ?
A good Morning to you too mjombaaa nimetingwa kidogo mjombaa!ukooo wapiii shangazeee kipenziii Antonnia 😊😊😊 gooooood morning 😍View attachment 2634052
🤣🤣🤣🤣🤣Bila 'sssssssss' husikilizi mchugastan, upo sawa ?
ndio kimoja hakitoshiUnataka vikombe viwili???🙄
Usijaleeeee, ulipo nipo 😊😊A good Morning to you too mjombaaa nimetingwa kidogo mjombaa!
Bila shaka kila kitu kinaenda vyedii pande hizo mjombaa!!
If by chance i have made your day it was an accident..🤔😁 nimeshangaa tu🤣🤣🤣🤣🤣
Do you wanna make my day or what!?🫣🙈