Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,170
Ni habari za uongoKumbe mkuu Mwachiluwi umenidanganya na hapa?
Ni habari za uongoKumbe mkuu Mwachiluwi umenidanganya na hapa?
Kumbe ni utani mkuu, afadhali maana nilihisi hapa selfika ni mpaka malipo.Nakutania mkuu.
Nisikilize mimi haya ukipotea usije sema sikukwambiaKumbe mkuu Mwachiluwi umenidanganya na hapa?
Asante sana mkuu, habari yakoNi habari za uongo
Unakataaa kabisa 😂😂Ni habari za uongo
Ok,Kambale sijala muda mrefu sana maana sikutani nao sokoni. Unataka kunipikia??😯
Just joking brooo dont takw itNakusikiliza mkuu, lakini Lenie amesema unanidanganya, hana hizo habari.
ID yako ya zamani inaitwaje?Kumbe ni utani mkuu, afadhali maana nilihisi hapa selfika ni mpaka malipo.
Lakini Nashukuru sana umefanikiwa kunikamata.
Punguza emoj
Sawa mkuu, asante sana.Just joking brooo dont takw it
Ipi mkuu?ID yako ya zamani inaitwaje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭Watu wenyew tupo 2578 unakuta mm wa elf 2 nisipoomba wenzangu wataomba 🤣🤣🤣🤣
😂😂😂Ndo ukweli🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭🤭
mbavoooo zanguuu hukuuuu Madam 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🤣🤣!!
Foleni kama youtreee Alooooooohh!!!
Hebu nitoke hapaaa walai sitaki kesi za rejareja 🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️🚶🏻♀️
Usiku mwema wapendwaaaa!!
Sawa mkuu asante kwa kunijulisha hili.
Naomba kuuliza mkuu, kama sina NIDA wala leseni nifanye je?
Hebu Njoo kwa mwalimu soka tuendelee na story kwanzaaa hao mambo yao tuwaachie wenyewe.. Au nasema uongo Nyumbu akee 😁 ??😂😂😂Ndo ukweli
Nawe pia dear
Kuna nn huko 😀 mbona haya ya kwangu dear au hauamini nduguyako nipo kwenye foleni 😂😂Hebu Njoo kwa mwalimu soka tuendelee na story kwanzaaa hao mambo yao tuwaachie wenyewe.. Au nasema uongo Nyumbu akee 😁 ??
Njema kabisa, vipi wewe hukoAsante sana mkuu, habari yako
Nashukuru sana mkuu. Nategeme kujifunza mengi kwako mkuuAchana nao mkuu kwa sababu umejisajili tayari hivyo vingine havihitajiki
Mimi mzima kabisa mkuu.Njema kabisa, vipi wewe huko