TANGAZO
NIPO KWENYE NEW RELATIONSHIP KUANZIA SASA
Natamani niwe namuangalia tu moyo unawakaaa moto 🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Kula chuma iko
Ah, hili penzi la ukweli, baby nipe tu
Na ukinikuta nimelala unakuja juu
Tena kwa jinsi liko hot linawaka, wuuh
Na ukinikumbatia moyo unadunda puuh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Moyo unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Ah, unadunda puuh, puuh, puuh, puuh-uh
Oh, la-la
Hi! Wacha niseme kitu boo
Siwezi kukutoa machozi maana mi' sio kitunguu
Kila siku kwetu sikukuu
Valentine sio issue kwetu si' ni siku tu!?
Najua unapenda zawadi ma-gift
Na ndo' maana work hard niku-fix
Iwe shida ya mavazi, chakula na maradhi
Sometimes niko radhi niji-risk
'Nachofurahi hata nikikosa unaniombea kwa Mungu
Wapo wal'owahi nitosa kisa sina fungu
Nakumbuka longtime ilivyokua hard time (hard time)
Kabla hujanitoa kwa ukungu