Manyanza
Platinum Member
- Nov 4, 2010
- 20,008
- 45,722
Mdau selfika kwanza
Hujaona ,???
Mdau selfika kwanza
Tatizo mie Ambae Sina foleni comment zangu ndefu ndefu cc AaliyyahMie nina mambo yangu kibao yananichanganya akili foleni nazo zinichanganyee aseee haipigo hiooo!
Wee mbona asubuhi nilikutag kabisa ni story ya mauzauzaa anayofanyiwa mwalimu soka huko kijiji cha msisi wa msisiri!
Umezingua bana!!! Dili lilisha✔️ kabisa 😵Nakutania mkuu.
haha wewe Huyo uleweee!🤣🤣🤣Nikilewa napiga sana kizungu🤣🤣
Kumbe lilikuwa dili?Umezingua bana!!! Dili lilisha✔️ kabisa 😵
Mgeni kaa pembeni kwanza. Tukimaliza mazungumzo tutakuita!🤓Kumbe kilikuwa dili?
Sawa, Samahani sana
Asante mkuu kwa upendo wako. Bado naendelea kujifunza. Barikiwa rafikiUsiogope watu wanapenda utani tu yaani wana socialize tu. Sio kila kitu ni kweli
Ukute unamliwaza mwenyeji kuliko hata wewe!Usiogope watu wanapenda utani tu yaani wana socialize tu. Sio kila kitu ni kweli
🤣🤣🤣😅Welcom lunch
Acha umbeawewe wakiume 🤣🤣🤣😅
nimecheka sana 😂@Nyumbu akee 😁 ??
Hivi wewe vyakula unavyokula huwa unashiba?Acha umbea
Hutaki auhaha wewe Huyo uleweee!