National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Nakuja haraka kula
Nakuja haraka kula
Quitters never win, mtu anayekata tamaa ni ngumu kufika mbali na kitu kizuri hakiji kirahisi 😂Mwanaume hutakiwi kukata tamaa kirahisi, unazidi kunipa mashaka
NakaziaQuitters never win, mtu anayekata tamaa ni ngumu kufika mbali na kitu kizuri hakiji kirahisi 😂
Unataka ☕️ au 🍵 wakati unasubiria???Nakuja haraka kula
coffee 🤗Unataka ☕️ au 🍵 wakati unasubiria???
Kwa hiyo dogo zaidi kukaza? Asilemae tu 😂Nakazia
pesa haziokotwi😂 ananipelekesha huyoKwa hiyo dogo zaidi kukaza? Asilemae tu 😂
Nimeona upaja 😜
Kweli anakufanya gari la mkaaa 😂😂pesa haziokotwi😂 ananipelekesha huyo
Lenie mzigo umedrop
kaa kwa kutulia usifute 😂Sio levo yako tu usilete za Sungura eti sizitaki mbivu hizi 😂 😂 😂
Nitafuta saa 6 usikukaa kwa kutulia usifute 😂
nilikua napitapita twitterDogo 😂😂 ule wali maharage wa jpl uliutoa wapi? mshamba_hachekwi
Nimekubamba woii 😂😂nilikua napitapita twitter