Selfika na JF: Snap it. Show it

Sio Wanawake wote wako na akili kama zako, wengi hata akiwa na kipato chake still atataka mwenye zaidi.

Nimewahi kushuhudia hili kwenye ndoa 4, sio Mahusiano. Yaani ndoa kabisa

Mwanamke ana kipato chake, lakini majukumu yote ya ndani ni ya Mwanaume. Na ikitokea Mwanaume ameishiwa kabisa, basi Atakopeshwa na mkewe then Mwisho wa Mwezi atarudisha.

Mwanamke wa namna hii, akikutana na Wanaume wenye hela ataendelea kukumbutania Mwanaume Kapuku!

Bahati nzuri, Umri umenitupa Mkono sipo kwenye mahusiano ya hivyo πŸ€ͺπŸ™ŒπŸƒπŸƒ
 
Saint Anne

Mkaka mnukia pafyumu pambee anakusalimia, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyu atafanya nkazururee nae venue, sasa naogopa mkaka wa masters atanionaa. Afu itakua jau.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimemkumbuka yule dogo wa siku ile
I wish kangekuwa kadogo kangu.

Msalimie sana,
Huyo nikikutana naye kama nilitembea na marashi,namzawadia bure.
 
Deni la bodi ya mkopoπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚!!

Umenikumbuka deni lao namaliza mwakahuu hapo kati walii mbona nitasherekeaa!!
laki na 48 sio padogooo!!

Mizinga inawakata stimuuu sanaπŸ˜πŸ˜πŸ˜„!!
Hahaha...............Hongera kulimaliza πŸ€—

Vizinga mfululizo, nimesikia vinamaliza nguvu za kiume.

Sisi Wazee, miaka yetu hatukuwa na Vizinga. Sana sana ukienda Gulioni siku ya Mnada, utamnunulia mpenzi wako nguo ya ndani au Shanga kama zawadi πŸ™ˆπŸƒπŸƒ
 
πŸ˜…πŸ˜… banaa wewe acha tuishi tu, ya walimwengu ni mengi sana.. sema kuna wanawake wana mizingaa ukipwa hadi kichwa kinawasha.. unasikia baby nipangishie masaki mie sipendi mafujo alafu ninunulie gari ya kazini hii nimeishoka.. hiyo kodi ya masaki sasa .. mpewe tuzo kwakweli
 
Nakazia hiyo statement ya mwisho
 
Nimemkumbuka yule dogo wa siku ile
I wish kangekuwa kadogo kangu.

Msalimie sana,
Huyo nikikutana naye kama nilitembea na marashi,namzawadia bure.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkaka ananukiaa pambeee huyuu, nimemuuliza anatumia product ipi, kakataa kunitajia ila kasema atanijia na pafyumu enyewee nione live.

Woiiiiiiih kasema bei imechangamka kdogo.
Kesho ntamsalimia maana tumeachana sio mda, yeye karudi zake home.
 
It's really sad, ila ndio jamii tunayoitengeneza sisi wenyewe kwahiyo tuendelee kufurahia matokeo yake I guess! Ngoja niendelee kumfundisha dogo kuepuka "marafiki" wanaopenda kwa msimu baadae asipate shida.

Na wewe baki zako na bibi usije huku kwa vijana wenye stress na maajabu tele!!!πŸ˜Άβ€πŸŒ«οΈ
 
Wacha weee Cocah huyoooh
Kwa niaba ya wapenda perfume Usituangushe sasa😁
 
🀣🀣🀣

Nimepokea kwa niaba πŸ†πŸ™‚
 
Hahaha.......................ukipiga mahesabu wewe mwenyewe bado hujajenga, kwa kweli ni maumivu πŸ™†

Hiyo kuchanganya Damu muhimu sana, akija kukuzalia kabinti hivi karembo kama Mama yake inakuwa poa sana, kule Kijijini kwetu huyo binti unakuja kumposa kwa ng'ombe 70 au 100πŸƒπŸƒπŸƒ
 
Wacha weee Cocah huyoooh
Kwa niaba ya wapenda perfume Usituangushe sasa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada mbna nusu nianze kujilipuaaa?? Kwanza nkaamua kumkimbia kusudi ili mambo yasiwe mengi.

Maana kuna ka kitu kwa nafsi kalikua kanashawishi niseme nae visivyohusikaaa, Akili ikastukaa nkajiepushaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuuu knoww!!!
 
Tulia,atakuanza mwenyewe akishaleta live perfume.
 
wanatutesa sana kisaikolojia πŸ˜…πŸ˜… hayo mengine ni matusi wanatutukana
 
Kwa kweli Mkuu, ila inafanya kuwe na ugumu kuweza kujua napendwa kweli au amependa hizi mia 2 mbili zangu πŸ™Œ

Vijana wamejaa stress za kufa mtu na kwa huu umri wangu wa Uzee presha haichelewi kupanda.

Useme kwa Vijana tunachomisi ni utundu wao tu, kuna mabinti utasema walipata 'A' somo la Biology vile wanajua kucheza na mwili wako.

Isingekuwa Mwenyekiti wa Kijiji kunikatalia kuwa shahidi ilibaki kidogo tu nimpe yule Binti shamba langu la ekari 30 liwe lake πŸ€ͺπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Unajiuliza mbona huyu Kaka hajaoa hadi umri huu, kumbe mwenzenu alikosa hela hivyo hana budi kubaki single again kama Harmonize πŸ˜…πŸƒπŸƒπŸƒ
Sema vijana wengi kinachowacost ni kushindwa kujiamini na kupenda pisi kali zenye gharama aka wadada wa mjini. Hapo lazima waisome namba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…